
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mufindi, Miraji Mtaturu akimuombea kura mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa.
Wananchi wa Kijiji cha Kibena katika Jimbo la Kalenga wakimsikiliza mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa hayupo pichani wakati akihutubia mkutano huo.