USAID na Mradi wa Tuboreshe Chakula

Mkazi wa Kongwa akimsikiliza kwa makini, Mtaalamu wa lishe toka USAID Tuboreshe chakula, Bi   Mariam akielimisha faida na umuhimu wa virutubishi kwa mtoto umri wa miezi 6- miaka 5.

Mkazi wa Kongwa akimsikiliza kwa makini, Mtaalamu wa lishe toka USAID Tuboreshe chakula, Bi Mariam akielimisha faida na umuhimu wa virutubishi kwa mtoto umri wa miezi 6- miaka 5.

Baadhi ya kina mama wenyeji wa kijiji cha Ngomai, wakishiriki zoezi la kunywesha watoto kampeni  za lishe bora zinazoendeshwa na mradi wa USAID Tuboreshe chakula.

Baadhi ya kina mama wenyeji wa kijiji cha Ngomai, wakishiriki zoezi la kunywesha watoto kampeni
za lishe bora zinazoendeshwa na mradi wa USAID Tuboreshe chakula.

Timu ya wataalamu wa lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Chakula wanaoendesha kampeni ya  lishe wilaya mbalimbali za hapa nchini

Timu ya wataalamu wa lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Chakula wanaoendesha kampeni ya
lishe wilaya mbalimbali za hapa nchini