Makamu wa Rais, Dk Bila Afungua Kongamano la Uhamasishaji Uwekezaji Kanda ya Ziwa

Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo kutoka katika Mikoa sita ya Kanda ya Ziwa, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dk. Bilal, wakati alipokuwa akihutubia kufungua rasmi kongamano hilo leo, katika Hoteli ya Malaika Beach Resort, jijini Mwanza. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB, wakiwa katika gari lao la 'Mobile Bank', katika maonyesho ya Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB, wakiwa katika gari lao la ‘Mobile Bank’, katika maonyesho ya Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo alipotembelea katika Banda la Mjasiliamali Donatha Swai, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwasnza, Eng. Evarist Ndikilo. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib  Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Udhibiti wa Ubora wa kampuni ya Vic Fish, Jacob Maisele, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib 
Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Udhibiti wa Ubora wa kampuni ya Vic Fish, Jacob Maisele, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho katika Kongamano la siku tatu la Uhamasishaji na Uwekezaji Kanda ya Ziwa, lililofunguliwa leo Feb 13, 2014 jijini Mwanza. Picha na OMR