Baadhi ya Waandishi wa Habari na wadau Mbalimbali wakiwa wanasikiliza kutangazwa kwa majina ya waliochaguliwa katika Shindano la Maisha Plus/ Mama Shujaa wa Chakula.
*************
Majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya usaili wa Mama Shujaa wa Chakula / Maisha Plus 2014. Usaili: Mama Shujaa watapigiwa kura mtandaoni ili kupata washiriki 20 ambao wataingia kijijini Maisha Plus. Zoezi la kuwapigia kura litafanyika baada ya uhakiki ‘verification’ pamoja na upigaji picha kuthibitisha taarifa walizojaza kwenye fomu.
Kauli mbiu ya Mwaka huu ni Wekeza kwa wakulima wadogo wanawake. INALIPA.
Vijana wa Maisha Plus watagawanywa katika makundi mawili ya watu 20 na kupelekwa katika vijiji vilivyochaguliwa Iringa na Zanzibar, huko wataishi pamoja na familia zilizochaguliwa na kutakiwa kuishi
maisha sawa na familia hizo. Zoezi kuu litakuwa kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili wakazi wa vijiji hivyo kama changamoto za maji, n.k.
maisha sawa na familia hizo. Zoezi kuu litakuwa kusaidia kutatua changamoto zinazowakabili wakazi wa vijiji hivyo kama changamoto za maji, n.k.
Baada ya siku 7 wanakijiji watatakiwa kuwapigia kura vijana hao ili kupata jumla ya vijana 18 watakaopelekwa katika kijiji cha Maisha Plus kuungana na wenzao 12 kutoka nchi za Burundi, Kenya, Rwanda na Uganda. Kauli mbiu ya Mwaka huu ni Maisha Plus REKEBISHA.
Majina
Mama Shujaa wa Chakula
- Amina Kupela Chikaponya – Mtwara
- Anna James Yuda – Morogoro
- Anna Mwanilyela Chrisant –
Katavi - Bahati Muriga –Mwanza
- Clara Ancilla Ibihya – Pwani
- Cristina Kurwa Malale –
Zanzibar - Dina Rusoti – Mara
- Dionisia Rashidi Karata – Tanga
- Doricus Msafiri Shumbi –
Singida - Edina Jamas – Mbeya
- Elinuru Moses Pallangyo –
Arusha - Elizabeth Matayo – Geita
- Elizabeth Simon – Morogoro
- Ezeleda Chedego – Dodoma
- Fredina M. Said – Shinyanga
- Gladness Ebenezery Mmary –
Kilimanjaro - Grace G.D. Mahumbuka – Kagera
- Janeth Niima – Manyara
- Kuruthumu Ramadhani Mwengele –
Tanga - Leah Dominick Mnyambugwe –
Dodoma - Mary Athanaz Ndasi – Rukwa
- Mary John Mwanga – Singida
- Mary Kessy – Dar es salaam
- Neema Robert – Simiyu
- Nyachum Haji Ame – Zanzibar
- Pendo Musa – Morogoro
- Santina Mapile – Njombe
- Thereza Kitinga – Mwanza
- Zaituni Shedrack Kalenbi –
Kigoma - Zamda Daniely Mgonganga –
Iringa
Vijana wa Maisha Plus
- Adolph Anacleth – Mwanza
- Agatha Kalesu – Rukwa
- Ally Thabit – Mwanza
- Anastazia John – Mara
- Asumta Mwingira – Dar es salaam
- Ausi Abdul Moyo – Ruvuma
- Bakari Khalid – Shinyanga
- Boniphace Meng’anyi Nyankena –
Dar es salaam - Charles Daniel – Simiyu
- Douglas Said Msalu – Arusha
- Ellymathew Kika – Njombe
- Elizabeth Joachim – Tabora
- Fahamni Kaite Mwadini –
Zanzibar - Farida Ally – Pwani
- Fadhili Isanga – Kilimanjaro
- Flora John – Singida
- Frederick Joseph Ndahani –
Singida - Hyasinta T. Hokororo – Mtwara
- Jane Julio Kalinga – Iringa
- John Sylvester Malima – Geita
- Joyce Jacob Mushy – Arusha
- Marriam Mosses – Shinyanga
- Mary Nicholaus Kavishe –
Manyara - Mbonimpaye N. Nkoronko – Rukwa
- Mohammed Selemani Lipemba –
Lindi - Moureene K. Daud – Kagera
- Nelson Daniel – Dar es salaam
- Ngoma Abdallah – Kigoma
- Osama Norman – Mbeya
- Otilia Selestin Simime – Mbeya
- Said Salum – Katavi
- Salumu Saidi Johari – Mtwara
- Scholastica Deusidedith – Geita
- Seif Mohamed Salum – Tabora
- Shaaban Masoud Shaaban –
Zanzibar - Shida Keneth Mganga – Dodoma
- Shishira G. Mnzava – Morogoro
- Thomas P. Mgazwa – Dodoma
- Yassini Hamisi Suddi – Dar es
salaam - Zaharani Yusuph Hossen – Tanga