Makamu Mwenyekiti wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Bw Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo hicho ambapo ujenzi wake unakaribia kuanza eneo la Msata Wilaya ya Bagamoyo, Pwani kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao 30,000, kulia kwa makamu wa chuo ni Mkuu wa Chuo cha IFM, Profesa Godwin Mjema na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo kinacho toa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania, Charles Senkondo. (Picha na Chris Mfinanga)