Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano kutoka Soweto, Mwanjelwa, hadi Uwanja wa Sokoine, ikiwa ni moja ya shughuli za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho tawala. PICHA NA IKULU.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano kutoka viwanja vya Soweto Kwenda Bustani ya Jiji jijini Mbeya huku akiwa amewashikilia watoto wakati wa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama cha Mapinduzi CCM yanayofanyika leo mkoani Mbeya kwenye uwanja wa Sokoine Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara na Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Mwigulu Nchema, Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Fedha na Uchumi Mama Zakhia Megji, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi wakishiriki matembezi hayo, Matembezi hayo ya kilomita tano yalianza Saa moja na nusu na kumalizika Saa mbili na robo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto Mwanjelwa jijini Mbeya tayari kwa kuanza matembezi ya mshikamano kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete aki
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa kitaifa wa CCMwakiwa wamejipanga tayari kwa kuanza matembezi hayo. ,
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia , Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakisonga mbele.
Wananchi wakishiriki katika matembezi hayo
, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kipenzi cha watoto ameshiriki nao katika matembezi hayo kama anavyoonekana akitembea sambamba na watoto hao
Umati wa wananchi ukiwa umefunika barabara
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia akiingia kwenye bustani ya jiji la Mbeya tayari kwa kupokea matembezi hayo yaliyoanzia Soweto Mwanjelwa na mkumalizikia katika bustani hiyo kiasi cha kilomita tano. kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Fedha na Uchumi Mama Zakhia Megji, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana , Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete mara baada ya kupokea matembezi hayo kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi na kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula na Marck Mwadosya Waziri Ofisi ya Rais kazi Maalum
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akitambulisha viongozi mbalimbali mara baada ya Rais Dr. Jakaya Kikwete kupokea matembezi hayo katika bustani ya jiji mkoani Mbeya.
Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe akizungumza na wananchi, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na wana Mbeya mara baada ya kupokea matembezi hayo kwenye bustani ya Jiji jijini Mbeya ikiwa ni maadhimisho ya miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika kwenye uwanja wa Sokoine leo jijini Mbeya. Picha na FullShangwe Blog Mbeya.