Maonyesho ya kimataifa ya Utamaduni wa Kiafrika 2011 yalivyofana huko Ujerumani!

Umati wa watu wa rangi zote ukifurahia vimbwanga vinavyoendelea jukwaani

Binti wa Lucky Dube, Nkulee Dube akionyesha vitu vyake kwenye maonyesho hayo

Waziri wa Utamaduni na Michezo wa Trinidad & Tobago, Mh. Winston Peters akionekana ni mwenye furaha pia. Mh. Winston Peters ndiye aliyefungua maonyesho hayo kwa mwaka huu wa 2011.

Mpiga picha, Angèle Etoundi Essamba akionyesha tuzo yake aliyopokea kwenye maonyesho hayo

Balozi wa mziki wa Caribbean Calypso, Rose akichekelea na tuzo yake aliyokabidhiwa na Waziri Winston Peters

Ska Cubano akipagawisha umati

 Watoto nao walikuwepo

Maonyesho haya yamepangwa kufanyika tena mwakani kuanzia Mei 25 – Mei 28, 2012. Kwa maelezo zaidi tembelea mtandao wao hapa http://www.africafestival.org/ . Huenda tukakutana Ujerumani 🙂