Moja ya mabalozi wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti wakiwamiminia wageni waalikwa kinywaji cha Johnnie Walker katika hafla ya Wahindi ya kuadhimisha Kumbukumbu
Nzuri(Sweet Memory) ambayo hufanyika kila mwanzo wa mwaka, Hafla hiyo ilidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake cha Johnnie Walker jijini Dar es Salaam.
Balozi wa kinywaji cha Johnnie Walker Mr. Sebbo akitoa somo kuhusu kinywaji hicho wakati wa halfa ya kusherekea kumbukumbu nzuri kwa jamii ya wahindi ambapo Kampuni ya Bia ya Serengeti ilidhamini hafla hiyo kupitia kinywaji cha Johnnie Walker.
Indian Sweet Memory Event With Johnnie Walker
Indian Sweet Memory Event With Johnnie Walker