Rais wa Zanzibar Afungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Bumbwini Kiongwe, alipofungua kituo cha Afya kijiji hapo, katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, (kushoto) Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Saleh Mohamed Jidawi, na Waziri wa Afya Juma Duni Haji,[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Katibu wa Halmashauri Jimbo la Bumbwini Hassan Ali Kombo, akisoma risala wakati wa sherehe za ufunguzi wa Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe na mgeni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kukifungua Kituo cha Afya Bumbwini Kiongwe, Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja, katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, (kulia) Waziri wa Afya Juma Duni Haji.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]