Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo tawi la Mliman City wakiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima toka kituo cha Islamic orphans home care kilichopo Mbweni wilaya ya Bagamoyo ambapo walipata chakula cha mchana na kutoa baadhi ya misaada kwa ajili ya watoto hao wanaolelewa katika kituo hicho wakishirikiana na Makamu Balozi wa Zambia Bi. Elizabeth Phill.
Baadhi ya watoto kutoka kituo hiki cha mwandaliwa wakiwa na sura za furaha baada ya kufarijiwa na ujio wa wafanyakazi wa tigo na makamu balozi wa zambia Bi. Elizabeth Phill.
Makamu balozi wa Zambia, Bi. Elizabeth Phill akifurahia jambo na mmoja wa watoto toka kituo hicho cha Mwandaliwa Islamic Orphans and Homecare kilichopo MBWENI. |
Mmiliki wa kituo cha watoto yatima cha Mwandaliwa Islamic Orphans and Homecare, Bi. Halima Ramadhani akiwa na mmoja wa watoto yatima wanaotunzwa na kituo hicho. |
Mmiliki wa kituo hicho cha watoto yatima, Bi. Halima Ramadhani akiwa katika picha ya pamoja na makamu balozi wa ZAMBIA NA wafanyakazi wa tigo toka tawi la MLIMANI CITY baada ya kusherekea mwaka mpyaa |
Makamu balozi wa Zambia, Bi. Elizabeth Phill akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa kituo hicho. Picha zote na Mzalendo Blog. |