Serengeti Breweries Ltd Yawazawadia Wateja LCD TV

Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Azda Aman akizungumza na mmoja wa washindi kwa njia ya simu ya kiganjani, kulia ni Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao akishuhudi katika droo hiyo. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga.

Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao (kushoto) akionesha kuponi ya mmoja wa wateja aliyeibuka mshindi katika droo hiyo. Wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries, Azda Aman na Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga (kushoto) akishuhudia tukio hilo.

Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao (wa pili kushoto) akionesha kuponi ya mmoja wa wateja aliyeibuka mshindi katika droo hiyo. Wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries, Azda Aman na Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga (kushoto) akishuhudia tukio hilo.

Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Azda Aman (katikati) akizungumza na waandishi wa habari. Kushoto ni Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao na kulia ni Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga.

Zoezi la uchezeshaji droo hiyo likiendelea.

Zoezi la uchezeshaji droo hiyo likiendelea.

Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Azda Aman akizungumza na mmoja wa washindi kwa njia ya simu ya kiganjani, kulia ni Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao akishuhudi katika droo hiyo. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga.

Meneja wa Vinywaji Vikali toka Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL), Azda Aman akizungumza na mmoja wa washindi kwa njia ya simu ya kiganjani, kulia ni Mkaguzi Mwandamizi Kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Nchini, Mrisho Milao akishuhudi katika droo hiyo. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga.

KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL) kupitia kinywaji chake kikali cha Baileys imetoa zawadi mbili za LCD TV kubwa za kisasa kwa wateja wake wawili wa jijini Dar es Salaam walioshinda katika shindano la bahati nasibu lililoendeshwa katika Super Market kadhaa za jijini Dar es Salaam.

Wateja hao walibahatika baada ya kununua kinywaji cha Baileys katika maduka hayo makubwa na kujaza kuponi maalumu ambazo leo zilichezeshwa na SBL kisha majina yao kushinda katika droo ya kuwatafuta washindi wawili ambao wamejishindia LCD televisheni ya nchi 32.

Droo hiyo ya kumtafuta mshindi iliyosimamiwa na Mamlaka ya Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini Tanzania, imechezeshwa leo jijini Dar es Salaam katika Kiwanda cha SBL kilichopo Wilaya ya Temeke. Meneja wa Vinywaji Vikali toka SBL, Azda Aman aliwataja walioibuka washindi baada ya droo hiyo ni Adeline Gido wa Sinza pamoja na Twaha John kutoka Makumbusho wote wa jijini Dar es Salaam.

Alisema kila mmoja amejishindia LCD TV kubwa za nchi 32 ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kuwashukuru wateja wao wa kuunga mkono kinywaji hicho kikali ambacho kwa sasa kipo katika muonekano mpya wenye mvuto zaidi. Zawadi hizi tumetoa kwa kutambua mchango wa wateja wetu katika kutuunga mkono kwenye bidhaa zetu. Wateja hao wote tayari wamearifiwa ili kuja katika ofisi za SBL kwa ajili ya kukabidhiwa zawadi zao waliojishindia.