Tume ya Katiba Yakabidhi Rasimu ya Pili ya Katiba

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilal wakiwapongeza wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya katiba baada ya makabidhiano ya Rasimu ya pili ya Katiba katika viwanja vya Karimjee Hall jijini Dar es Salaam.

Mazungumzo na Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba na wa NCCR Mageuzi, James Mbatia na Rais Jakaya Kikwete katika hafla hiyo. PICHA NA IKULU.

Picha ya pamoja ya Rais Kikwete, Rais wa Zanzibar Dk. Shein na Makamu wa Rais Dk. Bilal na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya katiba.