Rais wa Zanzibar Azinduwa Kiwanda cha Uchapaji Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Jengo jipya la Kiwanda cha Uchapaji Zanzibar na Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, huko Maruhubi Mjini Unguja, ikiwa ni katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia) ni Waziri Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (katikati) akipata maelezo kutoka kwa mtaalam wa mashine ya CTP, ambayo inatoa picha kwa kutumia Plat, Mohamed Abass Rajab, (wa tatu kushoto) wakati wa ufunguzi wa jengo jipya la kiwanda cha Uchapaji cha Zanzibar jana, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na wananchi, pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha Uchapaji cha Zanzibar baada ya kulifungua jengo jipya la kiwanda hicho, huko Maruhubi Mjini Unguja,ikiwa ni shamara shamara za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na wananchi, pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha Uchapaji cha Zanzibar baada ya kulifungua jengo jipya la kiwanda hicho, huko Maruhubi Mjini
Unguja,ikiwa ni shamara shamara za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.

Wafanyakazi wa Kiwanda cha Uchapaji cha Zanzibar walipokuwa akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumzanao baada ya kulifungua jengo jipya la kiwanda hicho, kiliopo Maruhubi Mjini Unguja, ikiwa ni shamara shamara za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.