[/caption]
Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi na Elimu, ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar, baada ya kutunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(wa pili kulia) akiongoza maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9 chuo hicho, yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja leo, yaliyowashirikisha baadhi ya wahitimu na walimu.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA, akisalimiana na walimu wa Chuo Kikuu cha SUZA, alipowasili katika mahfali ya 9 yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja, leo, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA, akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma Shamuhuna, wakati alipowasili Chuo Kikuu cha Taifa, kampasi ya
Tunguu, katika sherehe za mahfali ya 9 ya chuo hicho, ambayo wahitimu wa fani mbali mbali wamepatiwa Shahada, Stashahada na Vyeti.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Baadhi ya wahitimu wa fani mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA, wakiwa katikaa maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9 chuo hicho, yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja, leo,[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimakabidhi zawadi Naibu Makamo Mkuu wa Chuo Taaluma Dk. Haji Mwevora Haji. kwa niaba ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Mzee Hassan Nassoro Moyo, wakati wa sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja katikati Makamo
Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimakabidhi Cheti cha Stashahada ya Uongozi wa Elimu na Utawala Masoud Hamad Omar, katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimakabidhi zawadi maalum Ghazal Abdulkadir Ali, akiwa mwanafunzi bara wa masomo ya Kompyuta kwa mwaka 2012/2013, iliyotolewa na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano, Rashid Seif, katika sherehe
za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimakabidhi zawadi maalum kwa mfanyakazi bora Ibrahim Ahmed Ibrahim, katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
Wahitimu wa Stashahada ya Teknolojia ya habari, waliotunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu leo, (kutoka kushoto) Stewat Njelekela, Seif Mohamed Nassor na Husna Shaabani Bwamadi.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]