Pastor Ken Igini wa Christ Embassy Tanzania akigawa baadhi ya zawadi kwa watoto yatima wa kituo cha SOS Children’s Villages cha jijini Dar es Salaam leo.
Sehemu ya watoto yatima wa kituo cha SOS Children’s Villages cha jijini Dar es Salaam wakifurahia zawadi zao kutoka kwa kanisa la Christ Embassy Tanzania.
Baadhi ya wahudumu wa kanisa la Christ Embassy Tanzania wakigawa zawadi mbalimbali kwa watoto wa kituo cha SOS.
Pastor Ken Igini wa Christ Embassy Tanzania akizungumza na waandishi wa habari katika kituo cha watoto yatima cha SOS Children’s Villages cha jijini Dar es Salaam mara baada ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto hao.
Ofisa Tawala wa Kituo cha SOS Children’s Villages, Bi. Rahma Michael akizungumza kiwashukuru viongozi na waumini wa kanisa la Christ Embassy Tanzania mara baada ya kupokea zawadi hizo.
Pastor Ken Igini wa Christ Embassy Tanzania akitoa baadhi ya zawadi kwa watoto yatima wa kituo cha SOS Children’s Villages cha jijini Dar es Salaam leo.
Pastor Ken Igini wa Christ Embassy Tanzania akikabidhi sehemu ya msaada waliotoa kwa kituo cha watoto yatima cha SOS Children’s Villages cha jijini Dar es Salaam, anayepokea kulia ni Ofisa Tawala wa Kituo cha SOS Children’s Villages, Bi. Rahma Michael.
Sehemu ya watoto yatima wa kituo cha SOS Children’s Villages cha jijini Dar es Salaam wakifurahia zawadi zao kutoka kwa kanisa la Christ Embassy Tanzania.
Sehemu ya waumini, viongozi na wahudumu wa kanisa la Christ Embassy Tanzania wakitoa zawadi zao mbalimbali kwa watoto wa kituo cha SOS.
Pastor Ken Igini wa Christ Embassy Tanzania akitoa baadhi ya zawadi kwa watoto yatima wa kituo cha SOS Children’s Villages cha jijini Dar es Salaam leo.
Sehemu ya waumini, viongozi na wahudumu wa kanisa la Christ Embassy Tanzania wakitoa zawadi zao mbalimbali kwa watoto wa kituo cha SOS.
Sehemu ya watoto yatima wa kituo cha SOS Children’s Villages cha jijini Dar es Salaam wakifurahia zawadi zao kutoka kwa kanisa la Christ Embassy Tanzania.
Mmoja wa watoto yatima wa kituo cha SOS Children’s Villages cha jijini Dar es Salaam akizungumza kushukuru kwa msaada kwenye vyombo vya habari.