
Mtoto Brian Richard akipokea zawadi ya Christmas kutoka father Christmas katika hafla iliyoandaliwa na hoteli ya Serena jijini Dares Salaam kwa ajili ya chakula kwa watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu kutoka kituo cha Pasada.

Mtoto Tula Mwenda akipokea zawadi ya Christmas kutoka father Christmas katika hafla iliyoandaliwa na hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kwa ajili hafla ya chakula ya kucherekea siku kuu ya Christmas kwa watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu kutoka kituo cha Pasada.

Baadhi ya watoto yatima na wanaoshi katika mazingira magumu kutoka kituo cha Pasada wakila chakula kwa ajili ya kucherekea siku kuu ya Christmas katika hafla iliyoandaliwa na hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.