Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Bi Hadia Masoud Sultan, alipotembelea chumba cha Kompyuta skulini hapo, baada ya kuifungua rasmi, katika Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kulia) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Wanafunzi wa Skuli ya Utaani B, Wanaume wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Skuli yao ya Sekondari Utaani A, na Chasasa, Mkoa wa Kaskazini Pemba, zilizofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na
Ramadhan Othman, Ikulu]
Baadhi ya walimu na Viongozi katika Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Utaani A, na Chasasa, zilizofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakifuatana na Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Utaani B, ya wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mwanakombo Nassor Ahmed, (kushoto) wakati alipotembelea Skuli hiyo, baada ya kuifungua Rasmi, katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Chasasa Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kushoto) Mke wa Rais Mama
Mwanamwema Shein,[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]