Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kufungua kituo cha Afya Kijiji
cha Kajengwa, Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja jana,katika shamra
shamra kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Daktari dhamana Wilaya ya kusini (DMO) Daniel Francis Pius,(katikati) baada ya kukifungua kituo cha Afya Kijiji cha Kajengwa Makunduchi, Wilaya ya Kusini Unguja jana,katika shamra shamra kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Katibu wa Kamati ya maendeleo Shehia ya Kajengwa Makunduchi Nassor Simba, alipokuwa akisoma risala ya wananchi wa kijiji hicho wakati wa ufunguzi wa kituo cha Afya Kijiji cha Kajengwa, Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja jana,katika shamra shamra kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Baadhi ya Wananchi wa Shehia ya Kijiji cha Kajengwa Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja,na Vijiji jirani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza nao wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Afya Kijiji hapo, katika shamra shamra kuadhimisha Miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]