Samaki Mgebuka na Matunda Sokoni Namanyere, Nkasi…!

Mchuuzi wa samaki aina ya mgebuka toka Ziwa Tanganyika akiuza samaki wake kwenye Soko Kuu la Namanyere, Wilayani Nkasi Mkoa wa Rukwa.

Baadhi ya wachuuzi wa matunda aina ya maembe  katika Soko Kuu la Namanyere Wilaya ya Nkasi Mkoa wa Rukwa wakiwa wamepanga matunda hayo kusubiri mteja, embe moja ni sh 200 hadi 300.