Angalia Picha za Matukio Maadhimisho ya Miaka 52 ya Uhuru Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi alipokua akiwasili uwanja wa Uhuru wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru leo jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi Generali Davis Mwamunyange.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akitoa hatuba fupi kwa watanzania wakati wa maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Hatuba yake licha ya kujaa maneno ya kumkumbuka rais wa kwanza wa Afrika ya Kusini Mzee Nelson Rolihlahla Mandela Madiba aliyeaga dunia juzi nchini Afrika ya Kusini imesisitiza Upendo, Amani, Mshikamano miongoni mwa watanzania na kukemea tabia ya baadhi ya viongozi kulipiza kisasi pindi waingiapo madarakani.

Vijana wa halaiki wakiendelea kuwasilisha jumbe mbalimbali kama inavyoonekana mfano wa mnyama aina ya samba kuashiria utalii katika hifadhi  za wanyama za Tanzania.

Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein (kushoto), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete (katikati) na Mkuu wa Majeshi Generali Davis Mwamunyange wakisoma Jarida la Nchi Yetu linalochapishwa na Idara ya Habari (MAELEZO) leo katika uwanja wa Uhuru wakati wa Maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru.

Gwaride likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu kwa mwendo wa haraka.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendelo Freeman Mbowe akiwa miongoni mwa viongozi wa vyama vya siasa waliohudhuria maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru.

Wananchi wa mkoa wa Dar es salaam waliojitokeza kuhudhuria maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru uwanja wa Uhuru leo jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya majeshi ya Ulinzi na usalama leo uwanja wa Uhuru wakati wa maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru.

Rais Jakaya Kikwete na Amiri Jeshi Mkuu akizungumza jambo na Mkuu wa Majeshi Generali Davis Mwamunyange wakati gwaride la vikosi vya Ulinzi na Usalama likipita mbele ya jukwaa kuu la uwanja wa Uhuru kwa mwendo wa haraka.

Baadhi ya Maofisa wa jeshi wakipiga saluti wakati wimbo wa Taifa ukiimbwa wakati wa maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru leo jijini Dar es salaam.

Sehemu ya askari wa vikosi vya ulinzi na usalama wakiwa wamesimama kwa ukakamavu wakati kabla ya kamanda wa gwaride kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu kukagua gwaride hilo leo jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akipokea salam ya Rais na kupigiwa mizinga 21 kutoka kwa gwaride la vikosi vya majeshi ya Ulinzi ya Tanzania leo uwanja wa Uhuru mara baada ya kuwasili.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akipokea salam ya Rais na kupigiwa mizinga 21 kutoka kwa gwaride la vikosi vya majeshi ya Ulinzi ya Tanzania leo uwanja wa Uhuru mara baada ya kuwasili. (Picha zote na Aron Msigwa – MAELEZO).

Usiku Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Ikulu;

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa katika Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, jana usiku wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru, alipomwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika kuhitimisha sherehe hizo. Kushoto kwake ni Rais wa Zanzibar, Dk. Mohamed Ali Shein na mkewe Bi Mwanamwema Shein. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohammed Shein, wakifurahia burudani ya ngoma za asili iliyokuwa ikiendelea jukwaani wakati wa hitimisho la sherehe za miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam jana usiku. Kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal na (kulia) ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Bi Mwanamwema Shein. Picha na OMR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo akiwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilali,walipokuwa wakiangalia burudani maalum za ngoma za asili zilizotolewa jana na vikundi mbali mbali  katika kusherehekea miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam,(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,na Mke wa Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Asha Bilali,(kushoto).[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisisitiza jambo akiwa na Makamo wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilali,walipokuwa
wakiangalia burudani maalum za ngoma za asili zilizotolewa jana na
vikundi mbali mbali katika kusherehekea miaka 52 ya Uhuru wa
Tanzania Bara katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam,(kulia)
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,na Mke wa Makamo wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Asha Bilali,(kushoto).[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Wasanii wa ngoma ya asili ya Kabila la Wahaya 'Kakau Band', wakitoa burudani jukwaani wakati wa sherehe hizo zilizohitimishwa kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

Wasanii wa ngoma ya asili ya Kabila la Wahaya ‘Kakau Band’, wakitoa burudani jukwaani wakati wa sherehe hizo zilizohitimishwa kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na OMR