Matukio Kikao cha Mawaziri wa Elimu na Afya wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr. Hussein Mwinyi akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mkutano wa High Level Group unaofanyika huko Cape Town kuzungumzia elimu ya afya ya uzazi na ukimwi kwa vijana katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Botswana na Mjumbe wa High Level Group Dr. Festus Mogae wakati wa kikao cha Mawaziri wa Elimu na Afya kutoka nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika unaofanyika Cape Town nchini Afrika Kusini tarehe 7.12.2013.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha na Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Bwana Michel Sidibe wakionyesha umuhimu wa dhana nzima ya mkutano wa High Level Group ( YOUNG PEOPLE TODAY, TIME TO ACT NOW) kuhusiana na masuala ya elimu ya afya ya uzazi kwa vjijana katika nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihutubia mkutano wa Mawaziri kutoka nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika kuhusu elimu ya afya ya uzazi kwa vijana wa nchi hizo. Mkutano huo wa siku mbili unafanyika nchini Afrika Kusini katika Mji wa Cape Town tarehe 6-7.12.2013. PICHA ZOTE NA JOHN LUKUWI