Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi hiyo wa mwaka wa fedha 2012-2013 na robo ya
kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014, katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji,(kusho) na Katibu Mkuu Kiongozi DSk. Abdulhamid Yahaya Mzee. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]