Makamu wa Rais Tanzania Afungua Mkutano wa Majadiliano ya Sera Kuondoa Umaskini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal,  akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, 
akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere kwa ajili kufungua mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wadau katika na Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR

Baadhi ya wadau walioshiriki katika mkutano huo wa majadiliano.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DK. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, wakati akiondoka kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere baada ya kufungua rasmi Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR