Ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini

Katibu Mkuu wa Wizara ya  Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa bomba la gesi ikiwa ni pamoja na ukamilishwaji wake

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa bomba la gesi ikiwa ni pamoja na ukamilishwaji wake

Picha Na. 1(1)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akisalimiana na wafanyakazi wa mradi wa bomba la gesi huko Kilwa.

Picha Na. 4
Kazi ya uunganishaji wa bomba la gesi ikiendelea