Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania anaefanyia kazi zake Zanzibar Saleh Suleiman Al Harth, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.[Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu.]