Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Matia na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dk. Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) leo Oktoba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamos Oktoba 2, 2013. (PICHA NA IKULU)