Wahariri watembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti Moshi


Wahariri wa habari nchini Tanzania kutoka vyombo mbalimbali wakitembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti (Serengeti Breweries Ltd) kilichopo mjini Moshi jana baada ya kumaliza mkutano wao mkuu uliofanyika mkoani Arusha. Anayewaongoza ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda.


Sehemu ya mtambo wa Bia ya Serengeti ukiendelea na kazi kiwandani hapo.