Kutoka kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dk. Servacius Likwelile, Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi wa BOT Dk. Joseph Masawe na Naibu Gavana wa BOT Bi. Natu Mwamba wakitafakari kwa makini majadiliano hayo.
Bw. Zenfack, katikati akifafanua jambo katika mkutano huo, kulia ni Bw. Philippe Dongier Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi.
Bw. Paul Brenton Trade Practice Leader- AFTPM akitoa ufafanuzi pembeni yake ni Bw. Danny Leipziger – aliyekuwa Mkuu wa Idara ya kupunguza umasikini na kuinua uchumi.
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano na Benki ya Dunia.
Bw. Shahid Yusuf ambaye ni Consultant wa AFCE akichangia hoja katika mkutano wa ujumbe wa Tanzania na Benki ya Dunia. Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma – Washington DC