Mkuu
wa Idara ya Masoko na Mawasilino wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa,
akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza ujio wa wasanii
wa Muziki wa kizazi kipya Peter na Paul Okoye maarufu kama P – square
kutoka nchini Nigeria chini ya udhamini wa Vodacom, watakaowasili Tarehe
23 Mwezi ujao. Wasanii hao wataambatana na wasanii wengine 13 kutoka
nchini humo. Pamoja nae katika picha ni Mtangazaji wa East Afrika Radio,
Hillary Daudi (Zembwela).

Baadhi
ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini maelezo kutoka kwa
wazungumzaji Mtangazaji wa East Afrika Radio, Hillary Daudi (Zembwela).
Na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasilino wa Vodacom Tanzania Kelvin
Twissa , wakati wa Kutangaza ujio wa wasanii wa Muziki wa kizazi kipya
Peter na Paul Okoye maarufu kama P – square kutoka nchini Nigeria,
Tarehe 23 Mwezi ujao. Wasanii hao wataambatana na wasanii wengine 13
kutoka nchini humo.