Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati)pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiwangalia watoto waliokuwa wakisoma vitabu wakati wa maonesho yaliyofanyika nje ya viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini zanzibar jana, baada ya kulifungua kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo Mafunzo ya Amali Mkokotoni Mkubwa Ibrahim, wakati alipotembelea kazi za mafundi uashi jana alipoyazindua maonesho wakati wa kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbli alipowasili katika viwanja vya Salama Bwawani Hotel, Mjini Unguja kulifungua Kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja, na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein jana.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi mbalimbali
walipokuwa wakiangalia maonesho ya Vitabu na kazi mbalimbali baada
ya kulifungua kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyofanyika nje ya viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini zanzibar jana,[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]