Sunderland Kutangaza Utalii wa Tanzania Nchini Uingereza

Mkurugenzi wa Biashara wa Timu ya Sunderland ya nchini Uingereza Gary Hutchinson (kulia) akimkabidhi jezi ya timu yake Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Leonard Tadeo(kushoto) jijini Dar es Salaam mara baada ya mazungumzo ya awali ya kuimarisha ushirikiano na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa ajili ya kutangaza utalii wa Tanzania nchini Uingereza na vilevile kuendeleza michezo hapa nchini. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Dk. Alyoce Nzuki.

Mkurugenzi wa Biashara wa Timu ya Sunderland ya nchini Uingereza Gary Hutchinson (kulia) akiongea na waandishi wa habari hapo pichani jana jijini Dar es salaam juu ya timu hiyo kuanzisha ushirikiano na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa ajili ya kutangaza utalii wa Tanzania nchini Uingereza na vilevile kuendeleza michezo hapa nchini. Wengine ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Dk. Alyoce Nzuki (katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Leonard Tadeo (kushoto).

Mkurugenzi wa Biashara wa Timu ya Sunderland ya nchini Uingereza Gary Hutchinson (wa pili kutoka kulia) akiongea na waandishi wa habari hapo pichani jana jijini Dar es salaam  juu ya timu hiyo kuanzisha ushirikiano na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa ajili ya kutangaza utalii wa Tanzania nchini Uingereza na vilevile kuendeleza michezo. Wengine ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Dk. Alyoce Nzuki (kushoto) na Mwakilishi wa timu ya Sunderland hapa nchini Edmund Hazzal (kulia).

Mkurugenzi wa Biashara wa Timu ya Sunderland ya nchini Uingereza Gary Hutchinson (wa pili kutoka kulia) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam juu mazungumzo ya awali ya timu hiyo kuanzisha ushirikiano na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa ajili ya kutangaza utalii wa Tanzania nchini Uingereza na vilevile kuendeleza michezo hapa nchini. Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Leonard Tadeo (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Dk. Alyoce Nzuki (wa pili kutoka kushoto) na Mwakilishi wa timu ya Sunderland hapa nchini Edmund Hazzal (kulia)