Msanii maarufu kwa wimbo wake wa “Nani Kamwaga pombe yangu” Baba Levo, akiwaimbisha wakazi wa mji wa Mtwara na majirani zake katika tamasha la Serengeti Fiesta mjini hapo siku ya jumamosi katika uwanja wa Nangwanda Sijaona. Tamasha hilo linadhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Kundi la Makomando ambalo linaongoza kwa minenguo ya kusisimua wakionyesha uwezo wao wa kucheza mbele ya wakazi wa mji wa Mtwara katika tamasha la Serengeti Fiesta mjini Mtwara kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona siku ya jumamosi. Tamasha hilo linadhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Msanii wa miondoko ya pwani anayejulikana kwa jina la Snura, akitumbuiza wakazi wa mji wa Mtwara katika tamasha la Serengeti Fiesta mjini humo lililofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona. Tamasha hilo linadhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Baadhi ya wakazi wa mji wa Mtwara wakifurahia na kucheza pamoja na wasanii mbele ya jukwaa, katika tamasha la Serengeti Fiesta mjini Mtwara kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona siku ya jumamosi. Tamasha hilo linadhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Msanii maarufu kwa wimbo wake wa “Nani Kamwaga pombe yangu” Baba Levo, akiwaimbisha wakazi wa mji wa Mtwara na majirani zake katika tamasha la Serengeti Fiesta mjini hapo siku ya jumamosi katika uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Mshindi wa shindano la Serengeti Fiesta Supa Nyota msimu ulipita Young Killer akiimba mbele ya wakazi wa mji wa Mtwara na majirani zake katika tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyika kwa mara ya kwanza katika mji huo. Tamasha hilo linadhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti Kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.