
Picha mbalimbali za maonesho ya mavazi katika uzinduzi wa maonesho ya mavazi ya NECHA yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Ltd (SBL), kupitia kinywaji chake cha BAILEYS yaliyofanyika katika Ukumbi wa Alliance Francaise jijini Dar es Salaam.

Kinywaji cha baileys kikionekana kutawala ukumbini pamoja na vinywaji vingine vinavyotengenezwa na SBL katika hafla hiyo. Serengeti Breweries Kupitia Baileys walidhamini ‘NECHA Fashion Show

Meneja wa Kinywaji cha Baileys ambacho kilidhamini maonesho hayo, Bi. Azda kutoka kampuni ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) akizungumza kuwakaribisha wageni waalikwa katika maonesho hayo ya mavazi kabla ya kuanza kwa hafla nzima.

Baadhi ya wageni waalikwa wakiburudika na kinywaji cha Baileys huku wakishuhudia maonesho hayo ya mavazi.