Waziri Kabaka katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa PPF SabaSaba

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka pamoja na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dk. Makongoro Mahanga akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF ndani ya Maonesho ya 35 ya Biashara Kimataifa.