Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(kushoto) akifuatana na makamo wa Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bamdari ya Rotterdam nchini Uholanzi wakati alipotembelea Bandari hiyo kuona Shughuli mbalimbali za Kazi. Picha na Ramadhan Othmann, Uholanzi}
Baadhi nya Viongozi walioungana katika ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakiwa katika Ofisi ya bandari ya Rotterdam Nchinbi Uholanzi wakiaptiwa maelezo mbali mbalim ya kiutendaji.{Picha na Ramadhan Othmann, Uholanzi}