Ajali…Ajali…Ajali Haina Kinga…!

Dereva wa pikipiki akijikagua pamoja na abiria wake (mwanamke) kama wamepata majeraha mara baada ya ajali hiyo, dereva na abiria wake walipata majeraha madogomadogo/