Tigo wachangisha fedha kusaidia elimu kwa watoto


Jackson akionyesha peperushi kuonyesha Tigo Tuchange katika mkutano na waandishi wa habari Julai 6, 2011 jijini Dar es Salaam.


Meneja Habari Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu nchini, Sylivia Lupembe Gumza akiwapongeza Tigo kwa huduma yao ya “Tigo Tuchange” ambayo ni kwa ajili ya kusaidia elimu kwa watoto Tanzasnia ambayo itafanyika 9 Julai 2011.
Meneja Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando (kulia) amesema zoezi hili litaanza saa 9:00 asubuhi mpaka 10:00 asubuhi ambapo kama utanunua vocha zaidi ya 500/-ndani ya saa moja utapata mara mbili ya kile kiwango umeweka na hapo utakuwa umechangia elimu Tanzania. Pesa itakusanywa a kununua vitabu vya wanafunzi wa shule ya msingi.