Vurugu za wamachinga na polisi mjini Mwanza


Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU mjini Mwanza wakiwa kwenye harakati za kuwatuliza wamachinga katika mapambano na Polisi.


gari hili liliteketezwa kwa moto na wamachinga waliokuwa na hasira katika mapambano na askari mkoani Mwanza.