Mabalozi Bara la Asia Wazungumzia Maonesho ya Nne ya Filamu

Kiongozi wa mabalozi saba kutoka nchi za Bara la Asia, ambaye ni Balozi wa Pakistan Tajammul Altaf wa nne (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari – MAELEZO kuhusu maonesho ya nane ya filamu za nchi za bara hilo yatakayofanyika katika ukumbi wa Quality Center Cinema uliopo barabara ya Nyerere Road jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 14 hadi 23, mwaka huu.

Baadhi ya mabalozi kutoka nchi za Bara la Asia wakisubiri kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari – MAELEZO kwa ajili ya kuzungumzia maonesho ya nane ya filamu za nchi za bara hilo yatakayofanyika katika ukumbi wa Quality Center Cinema uliopo barabara ya Nyerere Road jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 14 hadi 23, mwaka huu.

Baadhi ya mabalozi kutoka nchi za Bara la Asia wakisubiri kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari – MAELEZO kwa ajili ya kuzungumzia maonesho ya nane ya filamu za nchi za bara hilo yatakayofanyika katika ukumbi wa Quality Center Cinema uliopo barabara ya Nyerere Road jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 14 hadi 23, mwaka huu. Picha zote na Anna Itenda – MAELEZO.