Banda la Mega Investment Arusha ndani ya viwanja vya Saba Saba


Banda la Mega Investment Arusha ndani ya viwanja vya Saba Saba


Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Mega, Gladys Kombe (kulia) na Paskazia Manamba (kushoto) wakionesha tuzo iliyotolewa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) kwa kampuni hiyo baada ya kufanya vizuri kwenye maonesho hayo. (Picha na Thehabari team ndani ya Saba Saba)