Wajumbe wa Bodi ya NSSF watembelea banda la NSSF


Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa NSSF, Abubakari Rajab (wa tatu kushoto) pamoja na baadhi ya wajumbe wa bodi hiyo wakiangalia mfano wa daraja la Kigamboni linalotarajiwa kujengwa na shirika hilo (kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau akitoa maelezo kwa wajumbe hao walipotembelea banda la NSSF kwenye maonesho 35 ya Biashara Kimataifa Saba Saba Dar es Salaam leo.