Rais Dk. Shein Akifungua Msikiti Masjid Al Aqsa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Msikiti masjid Al Aqsa katika Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi
Wilaya ya kati Jimbo la Uzini Unguja, uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi,(kulia) [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, (katikati) alipokuwa akiutembelea Msikiti masjid Al Aqsa, katika Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi Wilaya ya
kati Jimbo la Uzini Unguja, mara baada ya kuufungua rasmi, msikiti huo umejengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi, (kulia) [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waislamu na Wananchi wa Kijiji cha Kijibwe Mtu Bambi Jimbo la Uzini Wilaya ya Kati Unguja wakati wa Ufunguzi wa msikiti Masjid Al Aqsa, uliojengwa kwa ufadhili wa Shekh Khalifa Bin Braik na Sheikh Ehab Hashish, kwa usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo Hilo Mohamed Raza Daramsi, (kulia)[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]