Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula (wa tatu kulia) pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (wa pili kushoto) wakibadiisha mawazo na wajumbe wa kamati ya kudumu ya uchumi na huduma za jamii wa Manispaa ya Ilala ndani ya Jiji la Mwanza wakati wa futari ya pamoja chungu cha kwanza katika mwezi huu mtukufu wa Ramadan.
Wakinamama nao wakijinafasi upande wao.