Jhikoma, Afrikabisa Band Walikuwa Kivutio ZIFF
ILIKUWA Julai 7, 2013 (SABASABA) Mwanamuziki Jhikoman alipewa heshima ya pekee
kufungua Tamasha la Kimataifa ZIFF la Zanzibar. Mwanamuziki Jhikoman na Afrikabisa band yenye maskani kule Bagamoyo almaarufu mjini B.O. Hata hivyo mwishoni mwa mwezi Julai watafanya maonesho mjini Iringa, hivyo wadau wa Iringa hawana budi kukaa mkao wa kula.
Waweza kupata mengi zaidi kuhusu Jhikoman & Afrikabisa Band at
www.jhikoman.com au http://www.jhikoman.com