Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Simiyu Mh.Jerry Silaa akisaini kitabi cha wageni katika ofisi za Chama Mkoani Simiyu.
Mh. Jerry Silaa akiangali burudani ya ngoma (haipo pichani) mara tu baada ya kuwasili mkoani humo.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Simiyu, Jerry Silaa na viongozi mbalimbali wa Chama Mkoani Simiyu wakiimba nyimbo za Chama.
MC