Harusi ya Antony Mtavangu na Bi. Gema Temba Yafana

Antony David Mtavangu na Bi. Gema Temba, wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es Salaam na baadaye kufuatiwa na sherehe kubwa kwenye Ukumbi wa Delux Sinza.