Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar. mchana (kushoto) Sheikh Said Salum Bakhresa.[Picha na Ramadhan Othman,
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alitembelea sehemu mbali mbali katika ikiwemo IMMIGRATION DEPARTURES pamoja na Viongozi aliofuatana nao baada ya kugungua Bandari ya Abiria katika Bandari ya Malindi Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Injinia Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamad,(katikati) wakati alipotembelea sehumu ya Kuegeshea Meli ya Mizigo katika sherehe za ufunguzi wa
Bandari mpya ya Abiria katika bandari ya Malindi Zanzibar leo. mchana.[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]