Wananchi wakiwa wamefurika katika viwanja vya Maonesho ya Biashara ya 37, sabasaba jijini Dae es Salaam jana.
Wananchi wakiwa wamefurika katika viwanja vya Maonesho ya Biashara ya 37, sabasaba jijini Dae es Salaam jana.
Ndani ya Banda la TBS, Banda kuu la Wizara ya Viwanda na Biashara
Banda kuu la Wizara ya Viwanda na Biashara
Ndani ya banda la Wizara ya Viwanda na Biashara katika Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa
Banda la Brela katika banda kuu la Wizara ya Viwanda na Biashara katika Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa
Ndani ya Banda la Mamlaka ya Rufaa ya Zabuni za Umma katika Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa jana.
Vituko katika Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa jana.
Serengeti bia ndani ya Viwanja vya Mwalimu J. K. Nyerere katika Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa jana.
Heka heka ndani ya Viwanja vya Mwalimu J. K. Nyerere katika Maonesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa jana.