VETA na Teknolijia Mpya Ndania ya Maonesho ya 37 ya Sabasaba
Mmoja wa wataalamu kutoka Chuo cha Elimu ya Ufundi, VETA akielezea juu ya namna mashine ya kujaza maji kwenye tanki inayojiendesha yenyewe inavyofanya kazi, mashine hiyo imetengenezwa na VETA.
Hii ni mashine inayoweza kumsaidia mkulima kupanda na kufukia maindi sambani msimu wa kilimo, imevumbuliwa na wataalamu wa VETA.
Mwanafunzi wa VETA akionesha namna mashine ya kisasa inayoweza kupanda na kufukia mahindi shambani inavyofanya kazi ndani ya viwanja vya Mwalimu Nyerere katika Maonesho ya Sabasaba.
Mmoja wa wataalamu wa VETA akionesha kifaa kilichovumbuliwa na taasisi hiyo, kifaa hicho kinaonesha namna sayari zinavyolizunguka jua. Kifaa hichi ni maalumu kwa kufundishia wanafunzi kwa mfano halisi.
Kifaa hicho kinaonesha namna sayari zinavyolizunguka jua. Kifaa hichi ni maalumu kwa kufundishia wanafunzi kwa mfano halisi.
Mkurugenzi wa Soko la Ajira, Mipango na Maendeleo kutoka VETA, Enock Kibendela (kulia katikati) akiangalia  baadhi ya bidhaa zilizoletwa katika maonesho ya 37 ya Biashara maarufu kama Sabasaba leo walipotembelea banda hilo.
Mkurugenzi wa Soko la Ajira, Mipango na Maendeleo kutoka VETA, Enock Kibendela, akiangalia baadhi ya bidhaa zilizoletwa katika maonesho ya 37 ya Biashara maarufu kama Sabasaba leo walipotembelea banda hilo.
Mkurugenzi wa Soko la Ajira, Mipango na Maendeleo kutoka VETA, Enock Kibendela akiwa ndani ya banda la VETA katika maonesho ya 37 ya Biashara maarufu kama Sabasaba leo walipotembelea banda hilo.