Dk. Shein Azungumza na Madakatari Wachina, Afungua Tamasha la Urithi Mila na Utamaduni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Madakatari wa Kichina waliofika IKulu Mjini Zanzibar, kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi, ambapo walikuwa wakishirikiana na Madakatari wazalendo katika kutoa huduma mbali mbali kwa wagojwa katika Hospitali za Unguja na Pemba. {Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (katikati) na Mlezi wa Tamasha la Urithi wa Mila na Utamaduni wa Mangapwani, Rais Mstaafu wa Tanzania
Mzee Ali Hassan Mwinyi, (kushoto) na Mwenyekiti wa kamati ta Tamasha Mwinyi Jamal Ramadhan Nasib, wakiangalia picha katika kikundi cha Mangapwani Tours ambacho hujishuhulisaha na utembezaji watalii, wakati wa sherehe za ufunguzi wa Tamasha hilo.[Picha na Ramadhan
Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (kulia) na Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha la Urithi wa Mila na Utamaduni wa Mangapwani Mwinyi Jamal Ramadhan Nasib, wakiangalia Watoto waliocheza ngoma ya Kibati wakati sherehe za Tamasha la Urithi wa Mila na Utamaduni wa Mangapwani huko Mangapwani Wilaya ya Kaskazini B, Unguja, alipofungua Tamasha hilo. [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, (kulia) akiangalia Ngoma ya Mwanandege alipowasili kulifungua Tamasha la Urithi wa Mila na tamaduni wa Mangapwani huko Mangapwani Wilaya ya Kaskazini B, Unguja, (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha la Urithi wa Mila na Utamaduni wa Mangapwani Mwinyi Jamal Ramadhan Nasib, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mlezi wa Tamasha la Urithi wa Mila na Utamaduni wa Mangapwani Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi, alipowasili katika uwanja wa Tamasha huko Mangapwani Wilaya ya Kaskazini B, Unguja, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]